hon.salum_mwalim profile picture

Salum Mwalim

User @hon.salum_mwalim Photos & Posts

CHADEMA People's power. Naibu katibu mkuu (Zanzibar) MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI CHAGUA CHADEMA KWA DEMOKRASIA. 

Photo by Salum Mwalim in Dar es Salaam, Tanzania. May be an image of 1 person.
 • 79
 • 1
 • 1/23/2018 2:31:03 AM

Niko Tayari kwaajili ya Kinondoni mpya yenye kuhitaji mabadiliko kutoka kwa kijana mwenye nia na udhubutu wa hali ya juu na kuweka maslahi ya maendeleo kwenye wilaya yetu. Ungana na mimi rasmi kwenye ukurasa wangu uhakika wa Instagram kwa habari na matukio ya kampeni zangu. Kinondoni niko tayari kuwatumikia bila kujali hila za ukabila wala udini. Msiponzwe

Photo by Salum Mwalim on January 23, 2018. May be an image of 1 person and text that says 'DEMOKRASIA NA C CHA MO CHADEMA MCHAGUE SALUM MWALIM CHAGUO SAHIHI WAKATI MUAFAKA'.
 • 79
 • 0
 • 1/23/2018 11:19:28 AM

Chaguo Sahihi wakati Muafaka. Ndugu zangu wananchi wangu jimbo la kinondoni mbele yenu tena nikiomba ruksa ya kuwatumika kwenye Bunge letu tukufu panapomajaaliwa. Ni changamoto nyingi mnapitia na kero nyingi mlizonazo ila yatupasa kushikamana kwenye kuweza tatua haya na mabadiliko yanaanza kwako kuja kwangu. Kinachofanywa na Chama tawala ni kuwabadilishia

Photo by Salum Mwalim on January 27, 2018. May be an image of 2 people, people standing and outerwear.
 • 103
 • 1
 • 1/27/2018 7:41:43 PM

Jino kwa Chuma Niko Tayari kuilinda katiba ya Chama changu, Kinondoni niko na nyie kwa hali yoyote kwa pamoja tutaashinda. @mangekimambi_ @freemanmbowetz @binamubananga

Photo by Salum Mwalim on January 27, 2018. May be an image of one or more people, people standing and crowd.
 • 77
 • 3
 • 1/27/2018 7:51:29 PM

Watu hawa uwaonao hapo ni kwa ridhaa yao bila kushurutishwa ama kuhaidiwa fedha walifika kujua ni namna gani tunatatua shida za wana kinondoni, jibu ni moja tu Usitishwe wala kuogopeshwa na watu waanaojali maslahi yao na Chama bila kujali matatizo mnayopitia na changamoto zenu. Kama alikuwepo miaka hio mitatu na akufanikisha la maana ataweza Leo hii kwa je

Photo by Salum Mwalim in Moscow City. May be an image of 2 people, people standing, outerwear and tree.
 • 147
 • 4
 • 1/30/2018 1:38:25 PM

Kinondoni Inahitaji mwakilishi wa Wananchi sio mwakilishi wa Rais, Leo nipo magomeni Morroco kuwapa habari njema watu wangu wa jimbo la kinondoni

Recent Tags

Recent Profiles