#TumeHuruyaUchaguzi2020 Photos, Pictures, Users, Posts

Photo by BAVICHA MJINI MAGHARIB on March 25, 2020.
 • 22
 • 0
 • 3/25/2020 6:11:11 PM

#TumeHuruyaUchaguzi2020

Photo by BAVICHA MJINI MAGHARIB on March 26, 2020. May be an image of 2 people.
 • 24
 • 1
 • 3/26/2020 2:36:41 PM

Viongozi wa Chadema na wanachama mbali mbali wakiwa wamejitokeza kutoa heshima zao za mwisho nyumbani kwa marehumu mh @mahanga_milton marehemu kabla ya umauti wake aliku kiongozi wa chama akiwa anahudumu kama mwenyekiti wa Chama mkoa wa ilala #NoHateNoFear #iamthefutureIWant #TumeHuruyaUchaguzi2020 #bavichamzigoni2020 #stopcoronavirus⛔️ #epukamikusanyik

Photo by BAVICHA MJINI MAGHARIB on March 26, 2020. May be an image of 1 person.
 • 14
 • 0
 • 3/26/2020 2:43:07 PM

Katibu mkuu wa chama taifa mh @@jjmnyika akiongoza viongozi wa chama pamoja na wanachama mbali mbali wakitoa heshima za mwisho kwa kamanda wetu @mahanga_milton kabla ya umauti marehumu alikuwa mwanachma na kiongozi wa chama ngazi ya mkoa alikuwa mwenyekiti wa chama mkoa wa ilala #NoHateNoFear #iamthefutureIWant #TumeHuruyaUchaguzi2020 #bavichamzigoni2020

Photo by BAVICHA MJINI MAGHARIB on March 28, 2020. May be an image of 4 people.
 • 30
 • 1
 • 3/28/2020 5:09:24 PM

Kamanda @MayorIringa historia haijawahi kukumbuka wachumia tumbo.... Historia inaandika majasiri waliosimama kwenye ukweli wakati wa majaribu.. umeonesha msimamo umetunza heshima yako na familia yako. Wao walifikiri kila mtu ana bei, wanafikiri kila mtu ni andazi. Hongera kaka. Hatuwezi kuuza imani waliotuamini na kutupa imani kubwa chief @mkwaya kafa ila v

Photo by BAVICHA MJINI MAGHARIB on March 28, 2020. May be an image of 2 people.
 • 29
 • 0
 • 3/28/2020 5:40:31 PM

Mwenyekiti wa baraza la vijana mkoa wa Mwanza kamanda @n.nkobe akiwa ameambatana na katibu weke wa baraza la vijana mkoa wa Mwanza kamanda @ms_muswa wanawakumbusha @watanzania kuendelea kupaza sauti zao kudai @tumehuruyauchaguzi #NoHateNoFear #iamthefutureIWant #TumeHuruyaUchaguzi2020 #bavichamzigoni2020

Photo by BAVICHA MJINI MAGHARIB on March 28, 2020.
 • 26
 • 1
 • 3/28/2020 8:34:02 PM

Sisi vijana wa @bavicha_mjinimagharib tupo tayari kudai @tume_huru_tz wewe ‍♂️‍♀️ je? #NoHateNoFear #iamthefutureIWant #bavichamzigoni2020 #TumeHuruyaUchaguzi2020

Photo by BAVICHA MJINI MAGHARIB on March 30, 2020. May be an image of 7 people.
 • 24
 • 0
 • 3/30/2020 7:00:26 AM

Mwenyekiti wa baraza la vijana (Chadema) @bavicha_taifa kamanda @johnpambalu akiwa na naibu katibu mkuu @bavicha_taifa kamanda @yohanakaunya pamoja na mjumbe wa baraza kuu wa kuchagulia kupitia baraza la vijana @bavicha_taifa kamanda @hmwago2013 wakiwa mkoani @dodoma na kupokewa na viongozi @bavicha_dodoma wakiongozwa na mwenyekiti wa baraza la vijana mkoa

Photo by BAVICHA MJINI MAGHARIB on April 07, 2020. May be an image of 1 person.
 • 17
 • 0
 • 4/8/2020 5:23:48 AM

#TumeHuruyaUchaguzi2020

Photo by Peter Magwi Michael on April 08, 2020. May be an image of 1 person.
 • 34
 • 0
 • 4/8/2020 12:29:27 PM

"Ndugu zangu wananchi wa Mikoa ya Mara, Simiyu na Shinyanga, Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura kwa awamu ya pili zoezi linaanza Tarehe 17 na linaisha Tarehe 19 mwezi wa 4, zoezi hili litadumu kwa siku tatu tu, kwa Maana hiyo kama huna kadi ya mpiga kura, umepoteza, kimevunjika au umehamisha makazi yako, nenda kajiandikishe karibu na unapoishi, ili upate f

Photo by Peter Magwi Michael on April 08, 2020. May be an image of 1 person.
 • 20
 • 0
 • 4/8/2020 12:34:14 PM

Save the date Monday 13/04/2020 from 21:30 - 22:30 Pm on Star Tv. #Ajenda2020 #TumeHuruYaUchaguzi2020 #NoHateNoFear @matiko_esther @chademakandayaserengeti @bawachataifa @chadema_in_blood @chadematzofficial @chadema_mara

Photo by Peter Magwi Michael on April 08, 2020.
 • 24
 • 0
 • 4/8/2020 12:38:49 PM

"Ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa Nguvu ili niendelee kuwawakilisha wanatarime wenzangu ndani ya Bunge letu, ninaamini sijawaangusha, Mwenyezi Mungu awabariki wote na kuwalinda" Mhe Esther Matiko (Mb) Tarime Mjini na Mwenyekiti Chadema Kanda ya Serengeti. #TumeHuruYaUchaguzi2020 #NoHateNoFear @bawachataifa @chadema_mara @chademakandayaserengeti @c

Photo by BAVICHA MJINI MAGHARIB on April 08, 2020.
 • 19
 • 0
 • 4/8/2020 4:36:07 PM

#TumeHuruyaUchaguzi2020

Photo by BAVICHA MJINI MAGHARIB on April 09, 2020. May be an image of 1 person.
 • 25
 • 0
 • 4/9/2020 1:46:48 PM

Sasa tumeamuwa ni nguvu yetu ni maamuzi yetu @hon.salum_mwalim #TumeHuruyaUchaguzi2020

Photo by BAVICHA MJINI MAGHARIB on April 09, 2020. May be an image of 1 person.
 • 21
 • 0
 • 4/9/2020 8:07:17 PM

Katibu wa kanda ya @unguja kamanda Ally Makame Zubeir akiwa ameambatana na Makamu mwenyekiti wa kanda ya @unguja kamanda Hassan Ally Abeid pamoja na Muhazini wa kanda ya @unguja kamanda Asiata Said Abubakar @asiatacoco mapema leo wamefanya dhiara katika Mkoa wa Kaskazini unguja na kukutana na viongozi wa wilaya chama pamoja na mabaraza katika wilaya ya kask

Photo by BAVICHA MJINI MAGHARIB on April 09, 2020. May be an image of 1 person.
 • 25
 • 0
 • 4/9/2020 8:23:44 PM

Katibu wa kanda ya @unguja kamanda Ally Makame Zubeir pamoja na Makamu mwenyekiti wa kanda ya @unguja kamanda Hassan Ally Abeid pamoja na Muhazini wa kanda ya @unguja kamanda Asiata Said Abubakar @asiatacoco walihitimisha ziara katika Mkoa wa Kaskazini unguja kwa kuweza kukutana na viongozi wa chama na mabaraza katika wilaya ya kaskazini A. #NoHateNoFear #

Photo by BAVICHA MJINI MAGHARIB on April 09, 2020. May be an image of 3 people.
 • 21
 • 0
 • 4/10/2020 6:54:39 AM

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar Salum Mwalim akiweka shada la maua juu ya kaburi la aliyekuwa Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Mtanzania na Katibu wa Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Arusha Elia Mbonea aliyezikwa katika makaburi ya Njiro, Arusha Alhamis April 09, 2020. Mungu ailaze roho ya marehemu peponi AMEEN. #NoHateNoFear #iamthefutureIWant

Photo by BAVICHA MJINI MAGHARIB on April 09, 2020. May be an image of 6 people.
 • 32
 • 1
 • 4/10/2020 6:58:53 AM

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar Salum Mwalim (mwenye koti jeusi) akiwa na wanahabari na waombolezaji wengine wakifuatilia mwili wa Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Mtanzania na Katibu wa Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Arusha Elia Mbonea ukiingizwa kaburini katika makaburi ya Njiro, Arusha #NoHateNoFear #iamthefutureIWant #TumeHuruyaUchaguzi20

Photo by CDM JIMBO LA UKONGA DAR on April 12, 2020. May be an image of 1 person.
 • 87
 • 2
 • 4/12/2020 9:18:51 AM

Tegemeo la wana mbozi mkombozi wa mbozi @pascalhaonga anawatakia pasaka njema @jongwe__ @professorjaytz @matiko_esther @nusrat_hanje @mbowejames @chadema_in_blood @chademapwani #tumehuruyauchaguzi2020

Photo by CDM JIMBO LA UKONGA DAR in Ukonga, Dar Es Salaam, Tanzania.
 • 60
 • 1
 • 4/12/2020 12:23:51 PM

Baraza la wanawake chadema linawatakia sikukuu tulivu neno Mona kwao @halima_james_mdee @nusrat_hanje @bulayaester #tumehuruyauchaguzi2020

Photo by Maria Sarungi-Tsehai on July 05, 2020. May be an image of 1 person.
 • 873
 • 38
 • 7/5/2020 11:17:03 AM

Wengine mmeuliza je nashiriki vipi #77Nyeupe ? Ni hivi: 1. Vaa nguo yoyote nyeupe mf t-shirt (kuna mtu kaahidi kuvaa chupi nyeupe kichwani ) 2. Piga picha na pozi la nguvu 3. Weka picha mtandaoni UKITAKA (si lazima): 4. ongeza ujumbe mfupi kwa nini unataka Tume huru ya uchaguzi 5. Weka hashtag #77nyeupe Vyovyote vile hakuna haja kuogopa maana hakuna sher

Photo by Bwile, Emmanuel A.B., Esq in Nyerere Square with @mariastsehai, and @mbsele5. May be an image of 1 person.
 • 24
 • 2
 • 7/7/2020 9:26:05 AM

Leo 7/7; #tumehuruyauchaguzi2020 #uchaguzihurunahaki

Photo by simba on July 24, 2020. May be an image of 1 person.
 • 7
 • 2
 • 7/24/2020 8:30:26 AM

Tumuenzi mzee Mkapa! Alitaka kupatikane Tume huru ya Uchaguzi #tumehuruyauchaguzi2020

Recent Tags

Recent Profiles